'wa saa nne makombo wa asubuhi hoyeee, hoyeeeeeeeeeee!'
Wimbo huo ni wa enzi ambao huimbwa mno na wanafunzi wa shule za msingi hapa nchini, kama kiashiria cha wanafunzi walioingia darasani kwa vipindi vya asubuhi ifikapo saa tano na nusu hurudi nyumbani hadi siku inayofuata kwa darasa la awali hadi la pili.
Sep 1, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment