Aug 31, 2012

T-MARC Tanzania HAS LAUNCHED A NEW DUME CONDOM BRAND IN DAR TODAY

T-MARC TANZANIA YAZINDUA DUME KONDOMU YENYE MUONEKANO MPYA KUWAVUTIA WANAUME WENYE KIPATO CHA KATI, SERENA HOTEL JIJINI DAR LEO
Picha hii inaonyesha moja ya tangazo la DUME KONDOM inayoashiria swali kwa mwanaume wa kweli !!

Hii ni sehemu ya bidhaa za DUME KONDOM zilizogawiwa ambazo baadae ziligawika kwa walioshiriki            uzinduzi huo.

Bi Alicia Cameron (mwakilishi USAID hapa nchini) akihutubia  umati mkubwa uliohudhuria uzinduzi                huo

 
Wa tatu kushoto ni Mhe.Mgeni Rasmi ,Naibu waziri wa afya Dr. Seif S. Rashid, akifuatilia kwa umakini hotuba ya Bi Alicia Cameron wakati wa hafla hiyo.

  Mgeni Rasmi Mhe.Dr. Seif S.Rashid akihutubia katika hafla hiyo. Hotuba hii ilikuwa ni sehemu ya kuzindua  
bidhaa hiyo mpya ya Dume Kondomu katika ukumbi wa kivukoni Serena Hotel Dar

                    Sehemu ya hotuba ya Mgeni rasmi, Mhe. Naibu Waziri wa Afya , Dr. Seif. Rashid

"It is important to note that, condoms do so much more than protection against HIV and other Sexually Transmitted Infections (STI's). Condoms also play a key role in family planning by preventing unplanned pregnancies. As we strive to achieve Millennium Development Goals, checking the current trends of population growth is an important part of the poverty reduction efforts. Aggressive condom promotion efforts are of paramount importance for Tanzania paving the way towards achieving Getting to Zero global campaign: Zero HIV infection, Zero Discrimination and Zero AIDS Related Deaths by 2015.
 I've been informed that T-MARC Tanzania not only supplies Dume male condoms which we 're launching today, but also has female condoms in the form of lady Pepete."

               Meza kuu wakipiga makofi kusifu sehemu ya hotuba ya uzinduzi iliyotolewa na Naibu Waziri wa afya Mhe. Dr. Seif S. Rashid.
Sehemu ya washiriki wakipiga makofi kusifu hotuba ya uzinduzi kutoka kwa  Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa afya Mhe. Dr. Seif S. Rashid.

     Mkurugenzi mkuu wa T-MARC TANZANIA Bi Diana Kisaka akitoa hotuba yake katika hafla hiyo.


                  Hii ni sehemu ya hotuba ya mkurugenzi mkuu wa T-MARC Tanzania.

"An important objective of T-MARC is to increase the availability and usage of condoms in and among most risk groups in Tanzania to mitigate transmission of the HIV Virus.We continue to examine holistic approaches  to end HIV spread.
We firmly believe that through effective collaborations and partnerships, condom programming has a role to play in supporting the Government of Tanzania's goal of achieving zero new HIV infections and promoting a healthy and progressive nation
                                      Yes!  Tanzania bila ukimwi inawezekana
                             The onus is on each and all of us to actively play our role"


                 Meza kuu wakifuatilia kwa ukaribu hotuba ya mkurugenzi mkuu aliyekuwa akihutubu


                                 Mgeni rasmi akiteta jambo na Bi Alicia  Cameron wakati wa uzinduzi huo  


                   Mgeni rasmi alipata muda wa kuongea na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari

                Hapa kila mshiriki wa hafla alipata fursa ya kupewa bidhaa mpya iliyozinduliwa


                             Ukipata shukuru, kisha unyesha unajali hata kwa tabasamu la kicheko


                  Hapa kulia dada mzungu akitaka kujua kama kapewa dume ya kike ama ya kiume tuu!!!
                  Hata hivyo bidhaa iliyozinduliwa ilikali GENDER zote!

                                     Mzigo ulikuwa wa kutosha  kwa kila mshiriki kupata.
                                                          Kazi ni kwako tu!!!!!!!!!!!!!!


Ms Prisca Rwezahura (Technical Director, T-MARC Tanzania) akitolea ufafanuzi jambo fulani mbele ya waandishi wa habari.

          Ndg.Daniel Crapper(  Director PSI Tanzania) akiongea ya vyombo mbalimbali vya habari.

Mkurugenzi Diana Kisaka akifuatilia kwa umakini hoja kutoka kwa mwandishi wa habari wa ITV, Godfrey Monyo. Pembeni ni baadhi ya waandishi wakichukua kumbukumbu za picha
Picha zote na Studio five

0 comments: