Aug 29, 2012

KWA HALI HII YA MAGARI YA TAKA JIJINI TUTAFIKA?

Pichani ni gari la kuzoa taka la manispaa ya kinondoni likiwa na zigo la taka barabara ya morogoro na kuelekea manzese midizini.
Nyuma kulia lina taili, 4 kushoto taili 2 !

0 comments: