Aug 29, 2012

HUGO DOMINGO MULTIMEDIA TANZANIA YATOA MKONO WA LAMBILAMBI DAR

Pichani juu ni picha za kumbukumbu za wapendwa marehemu waliopoteza maisha katika ajali ya meli Mv. Scaget iliyopinduka na kuzama na kusababisha zaidi ya abiria 100 kupoteza maisha.
                                                       Moja ya ndugu jamaa na familia za wafiwa

                                                Moja ya ndugu jamaa na familia za wafiwa
                 Wahanga wa ajali ya mv scaget wakitoa ushuhuda na namna Mungu alivyosaidia wakaokolewa
                  Moja ya ndugu jamaa na familia za wafiwa
   Mkurugenzi wa HUGO DOMINGO Tanzania Ndg.Mario Frenandes akihutubia kwa masikitiko                makubwa wakati wa tukio hilo

Mkurugenzi akitoa chochote kwa familia za wafiwa kama mkono wa pole kwa familia hizo. 
Jumla ya familia sita zilipewa mkono wa pole

Mkurugenzi akikabidhi box la mkono wa pole kwa familia ya marehemu Lucky ambaye alikuwa rafiki na mshauri mkubwa kwa mkurugenzi.Tukio hili lilifanyika katika ukumbi wa D.I Posta jijini Dar
.
                                                     Mv. skaget ilikizama siku ya ajali.

0 comments: