Pichani wajenzi wakiwa kazini katika barabara ya Morogoro eneo la kituo kidogo cha daladala Kagera,jijini Dar,haya ni maboresho ya barabara hiyo ili kukidhi matumizi ya mradi wa mabasi yaendayo kwa kasi jijini.
Sehemu ya viashiria vya muda katika maboresho ya barabara ya morogoro
Eneo la vituo vya daladala jangwani limekuwa tatizo kwa abilia maana hupata adha ya kushuka katika daladala kwani hakuna viashiria vya vituo vidogo kwa sasa!
ILALA CITY BEAUTIFICATION
Pichani juu na chini
Huo waonekana kuwa mkakati wa kudumu kuboresha round about na maeneo mengine ya jiji la Dar!
Ilala imeonesha njia! changamoto kwa Kinondoni na Temeke
Picha zote: round about ya makutano ya Hindu na Mkwepu Streets.
0 comments:
Post a Comment