- Mke wa marehemu akiwa katika hali ya simanzi kubwa baada ya kifo cha mumewe.Sehemu ya paji la uso wa marehemu Daudi Mwangosi akiwa amelazwa ndani ya jeneza kabla ya kuzikwaDr.Wilbroad Slaa akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu MwangoMjane wa marehemu akimuaga marehemu mumewe na kuamini kuwa ametangulia mbele za haki ambako kila mmoja wetu siku moja atarudi pia......
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi likiwa limebebwa kuelekea katika maziko
Ibada ya mazishi ikafanyika
Mwili wa marehemu Daudi Mwangosi ukateremshwa ndani ya kaburi lake la makazi ya milele
Marehemu Daudi Mwangosi hatimaye akafukiwa katika kaburi lake
Picha ya juu,Mke wa marehemu Daudi Mwangosi akaweka shada la maua juu ya kaburi la mume wake mpendwa aliyetoweka kama mshumaa uzimikao kwa upepo mkali.....
"Umetoweka tukingali tunahitaji msaada wako...................................................................."
Dr. Slaa akaweka shada la maua pia
Baada ya shughuli nzima ya kuhifadhi mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi umati huu mkubwa ukarejea.
REST IN PEACE
0 comments:
Post a Comment