Pichani baadhi ya wananchi wakishuhudia tukio la hitirafu ya umeme katika benk ya posta.
kushoto ni magari ya zima moto ya kampuni ya ULTIMATE SECURITY yakiwa na wafanyakazi waliokuwa
wakiendelea kutoa msaada wa kuzima hitirafu hiyo.
Aug 27, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment