Add caption |
Kijana mlemavu wa miguu akijiridhisha kwa umakini...."M. TWITE".
"Oneni wenyewe kifaa kipya ndo kimesababisha niungane na hadhara hii hapa airport leo."
shabiki akijilamba kwa jezi yenye jina la Mbuyu Twite
Siku hiyo @ eneo la mapokezi ya uwanja paliwika kwa jezi na mbiu ya jina la Mbuyu Twite
Sisi na bodaboda zetu furaha ni biashara...Twite karibu!
Umati huo............
Ghafla jezi No. 4 (RAGE),ikajitokeza mbele ya kinasa picha chetu!
Kufumba na kufumbua Twite akatua na kupiga ya makofi ya shukurani kwa umati mkubwa uliokwenda kumlaki airport.
Hapa twite akavalishwa jezi yake no.4 atakayoitumia akiwa na Yanga
Akapata fursa ya kuzungumza na vyombo vya habari japo kidogo!
twite katika furaha
Umati mkubwa ulijitokeza kwa wingi kumlaki Twite
Ni raha kupokelewa hivi..............
0 comments:
Post a Comment