Aug 25, 2012

UVUVI

Uvuvi ni sehemu ya shughuli ya kijamii inayowawezesha binadamu kujikimu  kimaisha  ingawa kwa upande wa pili wa shilingi kazi hii imekuwa ya hatari hususani inapokosa umakini wa vyombo vinavyotumiwa majini kwani ajali zake mara nyingi hula maisha ya watu wengi hata kabla ya kuokolewa tena kwa muda mfupi!

0 comments: