Aug 25, 2012

Mhe. RAIS KIKWETE AKIONGEA NA MABALOZI

Pichani kulia Mh.Rais Kikwete akiongea na wahesimiwa Mabalozi baada ya kuhudhulia mkutano wa Smart Partnership Movement (CPTM), viwanja vya Karimjee, Juni 17, 2012.
Wa kwanza kutoka kushoto ni Mh. Balozi wa Uganda, pili, Mh.Balozi wa Canada aliyemaliza muda wake, wa tatu, Mh.Balozi wa Kenya, wa nne, Mh.Balozi wa Umoja wa Ulaya,wa tano, Mh.Balozi wa Uingereza.
Picha na Studio five Digital Imaging

0 comments: