Ndani ya ukumbi wa mkutano wajumbe hawa wakakutana na kubadilishana mawazo. kulia ni Mhe.Hamad Rashid(mb),pembeni yake ni Mhe. Zitto Kabwe(mb) na wajumbe ambao majina yao hayakuweza kupatikana mara moja. Mhe.Rais wa Sri Lanka ,Mahinda Rajapaksa akihutubia washiriki wa mkutano huo na kuufungua rasmi.
Mhe.Spika Anne Makinda ni (wa pili kushoto) waliosimama mstari wa kwanza mbele,akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo wa madola (ACP) . Rais Mahinda Rajapaksa(katikati kwenye zuria jekundu)anaonekana pia akiwa katika pozi la picha baada ya ufunguzi rasmi wa mkutano huo.
0 comments:
Post a Comment