Sep 1, 2012

DILI HIZI BONGO UTAUAWA MWANANGU ! WATU WANA HASIRA NA MALI ZAO..

" utauawa mwanangu..........dili hizi sizo kabisa ........."

Siku hizi Bongo ukijidai wa mjini, tusipokupoteza, utajitibu kwa gharama maradufu ya mzigo uliokuwa unauwinda!
 Kipigo kikiendelea pamoja na afande wa kampuni binafsi, kumkingia kifua kibaka huyo.... nae chali !!!
Kipigo hiki kilijili jijini Dar eneo la kituo cha daladala Posta mpya Sept. 1/2012

0 comments: