Sep 1, 2012

YANGA YANAWIRI KWA COASTAL UNION YA TANGA

Mabingwa mara mbili mfurulizo wa kombe la Afrika Mashariki na kati (Kagame Cup) Dar Young African,
 wameifunga timu ya Coastal Union ya Tanga kwa mabao mawili kwa moja katika mchezo wa kirafiki kwa timu zote kujiweka sawa kabla ya msimu wa ligi kuu Tanzania Bara kuanza ambapo tayari Ratiba ya ligi hiyo ilikwishatangazwa.
Mbuyu Twite (kulia) akiupangusa mguu wa Simon Msuva kwa furaha ya kushangilia goli la kwanza la timu yao.

0 comments: