Sep 7, 2012

Dkt. Bilal AZINDUA KOREA BUSINESS CENTER DAR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,wa tatu kulia akipiga makofi baada ya kuzindua kituo cha Uwekezaji cha Jamhuri ya watu wa Korea hapa nchini,(Korea Business  Center)
Sept. 6,2012, Hyatt Kilimanjaro Hotel Dar .

Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bila akihutubia wageni walioshiriki katika uzinduzi huo

0 comments: