Aug 27, 2012

PHOTO EVENT TO THE TAPSEA 2nd NATIONAL SECRETARIAL CONFERENCE DAY - MALAIKA BEACH RESORT - MWANZA,APRIL 27-28,2012

                                     Sehemu kwa ajili ya mapumziko baada ya vikao vya mkutano
                                     Sehemu kwa ajili ya mapumziko baada ya vikao vya mkutano
 Baadhi ya washiriki walipata fursa ya kutokelezea ktk picha za pamoja na mgeni rasmi Mh.Waziri Mama Marry Nagu mwenye miwani katikati pichani.
           Mh. Waziri Marry Nagu akiwa katika pozi la picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo.
                            Mama Nagu akitoa ishara kwa vitendo kuwaelezea jambo fulani washiriki
Wa pili kushoto ni Mwandishi mwandamizi wa clouds fm mwanza Albert G. Sengo akitafuta pozi la kutokelezea  ktk picha na Mh.Waziri Nagu
 Mshiriki huyu kushoto kwa Mh. Waziri akijitahidi kutengeneza pozi la picha na Waziri. Kulia mwenye kamera ni mpiga picha maarufu Othman Michuzi.
                                                          Washiriki ktk pozi la furaha.
                                  Mh. Waziri alipata fursa ya kuzungumz na waandishi wa haabari

0 comments: