Aug 27, 2012

ABILIA ZAIDI YA 14 NUSURA KUPINDUKA NA DALADALA BUBU DAR

Daladala hili 'bubu' lilichomoka taili ya nyuma huku likiwa ktk mwando kasi na kuaza kuyumba barabarani bila mwelekeo na kuzua hofu kubwa kwa abiria hasa baada ya kuanza kutoa moshi mkubwa kuashilia dalili za kulipuka moto!
Ajali hii ilitokea barabara ya  Bagamoyo karibu na kituo cha Makongo jeshini, jijini Dar saa 4 usiku.

0 comments: