Sep 12, 2012

BREAKING NEWS..............................

Askari polisi anayetuhumuwa kumuua mwandishi wa habari marehemu Daudi Mwangosi afikishwa rasmi leo katika Mahakama ya Hakimu mkazi Mjini Iringa akikabiliwa na shitaka la kuua kwa kukusudia. Kesi hiyo inasikilizwa na Mhe.Hakimu Dyness Lyimo.
Mtuhumiwa alitajwa kwa jina la Pc Pafificius Cleophace Simon mwenye No.2573, umri miaka 23.
Hata hivyo kutokana na uzito wa shitaka lake, afande huyo hakupaswa kujibu chochote na kesi yake imaehirishwa hadi tarehe 26 Sept. 2012 . 
Globu hii ya kijamii itaendelea kukuhabarisha currently


0 comments: