Sep 1, 2012

MAFUNZO HAYA KWA BODABODA YANALETA MABADILIKO ?

 Kamanda na mkuu wa kikosi cha  Usalama Barabarani  Afande Mpinga, akionesha namna bodaboda wa pikipiki anavyotakiwa kuvaa  helmet kabla ya kuanza safari ili kujikinga na ajali hususani sehemu za kichwani hivi karibuni mbele ya ofisi za Habari Maelezo Jijini Dar
Pembeni ni bajaji ambapo maelekezo hayo yalihusisha pia madereva wa bajaji zinazobeba abilia nchini.
                 UMAKINI NI KINGA YA KUJIEPUSHA NA AJALI ZA BARABARANI




0 comments: